Matangazo ya Kanisa 18 – 24 MEI 2026
arrow_back All Announcements
weekly

Matangazo ya Kanisa 18 – 24 MEI 2026

calendar_today May 15, 2026 person Super Admin
picture_as_pdf

Attachment Available

3opTwfRJo76boGjXvjeC8UqhmCRmFyxrf8hJOfvN.pdf

download Download PDF
VIONGOZI WA ZAMU 
 18 –24 MEI 2026 

MCHUNGAJI 
REV. BRYSON KITOI 0755 641 497 

MZEE WA KANISA: 
MCH. GREYSON NYANTAMBA 

WAZEE NA MAKATIBU WAO WATAKAOKU WA ZAMU, KUABUDU IBADA ZOTE MBILI SIKU YA JUMAPILI IJAYO TAREHE 24/05/2026:

 MR. RODERICK LUTEMBEKA 
MR. REMIGIUS NGAIZA 
MRS. THERESIA MWABUSILA

 MASHEMASI WA ZAMU: 

MR. EGIDI PATRICK 
MRS. EMMA BENJAMIN 
MRS. FLOTEA MASSAWE 
MR. FABIAN QWARAY 

ZAMU ZA WATENDAJI 

Watendaji wote wa kundi la BETHLEHEMU mtakuwa zamu ya mfungo na maombi siku ya Jumamosi ijayo ya tarehe 23/05/2026. 
Watendaji wote waliopo maeneo ya Mzee Remigius Ngaiza, Mrs Rhoda Bundara, Mzee Greyson Nyantamba na Dr. Dickson Mkoka. 

TANGAZO 

1. Wazee wote wenye mitaa mnahimziwa kutembelea vituo vyenu vya HBCF ili kujua maendeleo ya vituo hivyo na kuviimarisha, wakisaidiana na makatibu pamoja na mashemasi. 
2. Kutakuwa na Ibada ya shukrani ya nusu mwaka pamoja na Ushirika wa meza ya Bwana tarehe 28.06.2026. Washirika wote tujiandae na ibada hiyo yenye baraka.


MICHANGO YA FEDHA ZA UJENZI 

1.Kwa neema ya Mungu ujenzi wa kanisa letu unaendelea, hivyo unatiwa moyo wewe uliye ahidi mchango wa ujenzi kwa awamu hii ya sita kutoa au kupunguza ahadi yako ili kazi ya ujenzi iendelee, mwisho wa kuchangia awamu hii ni mwezi Januari 2026. Kumjengea Mungu nyumba ya ibada ni baraka kwako na kwa vizazi vyako. 

2.Unaweza kutuma mchango wako kwenda namba: 
015 0020374000 CRDB BANK. Jina: KINONDONI REVIVAL CHURCH 
PAA LA KANISA, MUUJIZA WANGU 

TANGAZO IDARA YA WATOTO 

1. Tarehe 30.05.2026: Huduma ya kutembelea gereza la watoto Upanga kuanzia saa mbili asubuhi, gharama ya usafiri kwa kila mtoto ni Tzs. 2,000 pamoja na sadaka ya ukarimu. 

2. Tarehe 13.06.2026 : Mkesha wa kusifu na kuabudu, maombi na kuonyesha vipaji

3. Tarehe 15– 21 Juni 2026 wiki ya Idara ya watoto na wanafunzi, kutakuwa na makambi hapa kanisani kuanzia saa 8 mchana hadi saa 12 jioni 

4. Ibada ya Jumatano na Ijumaa (HBCF) zitaongozwa na Idara ya watoto.Njoo na familia yako yote upokee kutoka kwa Bwana. 

5. Tarehe 21.06.2026 ni kilele cha sikukuu ya watoto, sare ziko tayari (Tshirt) bei ni Tzs 10,000. 

SEMINA YA UAMSHO KWA KANISA ZIMA 

Kutakuwa na semina ya uamsho kuanzia tarehe 24– 31 Mei 2026.Kila mshirika ajiandae kuinuliwa kiroho, kiuchumi, kibiashara kupitia semina hiyo. Kwaya zote , Praise team pamoja na idara ya maombi zijiandae.