Matangazo ya Kanisa 25 – 31 MEI 2026
arrow_back All Announcements
weekly

Matangazo ya Kanisa 25 – 31 MEI 2026

calendar_today May 24, 2026 person Super Admin
picture_as_pdf

Attachment Available

klGegyva5oWWEvk2Rk2uCj1pKvoZBGU7AA3cvvC8.pdf

download Download PDF
VIONGOZI WA ZAMU 
 25 –31 MEI 2026 
MCHUNGAJI REV. JOSEPH ENOS 0755 641 497 

MZEE WA KANISA: 
MCH. YOTHAM MACKENZIE 

WAZEE NA MAKATIBU WAO WATAKAOKU WA ZAMU, KUABUDU IBADA ZOTE MBILI SIKU YA JUMAPILI IJAYO TAREHE 31/05/2026: 

MRS. THERESIA MWABUSILA 
MR. MATHIAS MSANGI 
MR. JOSEPH MAMUYA 

MASHEMASI WA ZAMU: 
MR. FRANCES MASSAWE 
MR. GEORGE WANDWALO 
MISS. GLORY MARTIN 
MRS. GRADES EDGAR 

MATANGAZO 

Wazee wote wenye mitaa mnahimziwa kutembelea vituo vyenu vya HBCF ili kujua maendeleo ya vituo hivyo na kuviimarisha, wakisaidiana na makatibu pamoja na mashemasi. 

Kutakuwa na Ibada ya shukrani ya nusu mwaka pamoja na Ushirika wa meza ya Bwana tarehe 28.06.2026. Washirika wote tujiandae na ibada hiyo yenye baraka. 

Mchungaji kiongozi anakumbusha tena kuwa vijana ambao wako kwenye mahusiano ya uchumba wasikae zaidi ya miezi mitatu bila kuonana na Mch. Dickson Mkoka pia wajitambulishe kwenye kamati ya kushauri chumba na kuhudhuria kwenye vikao vya chumba.

MICHANGO YA FEDHA ZA UJENZI

 1.Kwa neema ya Mungu ujenzi wa kanisa letu unaendelea, hivyo unatiwa moyo wewe uliye ahidi mchango wa ujenzi kwa awamu hii ya sita kutoa au kupunguza ahadi yako ili kazi ya ujenzi iendelee, mwisho wa kuchangia awamu hii ni mwezi Agosti 2026. Kumjengea Mungu nyumba ya ibada ni baraka kwako na kwa vizazi vyako. 

2.Unaweza kutuma mchango wako kwenda namba: 
015 0020374000 CRDB BANK. Jina: KINONDONI REVIVAL CHURCH
  PAA LA KANISA, MUUJIZA WANGU 

TANGAZO IDARA YA WATOTO 

1. Tarehe 30.05.2026: Huduma ya kutembelea gereza la watoto Upanga kuanzia saa mbili asubuhi, gharama ya usafiri kwa kila mtoto ni Tzs. 2,000 pamoja na sadaka ya ukarimu. 

2. Tarehe 13.06.2026 : Mkesha wa kusifu na kuabudu, maombi na kuonyesha vipaji 

3. Tarehe 15– 21 Juni 2026 wiki ya Idara ya watoto na wanafunzi, kutakuwa na makambi hapa kanisani kuanzia saa 8 mchana hadi saa 12 jioni 

4. Ibada ya Jumatano na Ijumaa (HBCF) zitaongozwa na Idara ya watoto.Njoo na familia yako yote upokee kutoka kwa Bwana. 

5. Tarehe 21.06.2026 ni kilele cha sikukuu ya watoto, sare ziko tayari (Tshirt) bei ni Tzs 10,000. 

TANGAZO LA NDOA 

Kwa mara ya kwanza tunatangaza harusi kati ya kaka Jovin Jonathan Jovitha na dada Emiliana Bruno Kipeto wote ni washirika wa TAG Kinondoni .Harusi itafanyika siku ya Jumapili tarehe 14/06/2026 hapa kanisani TAG Kinondoni.