MATANGAZO YA KANISA 24 - 30 AGOSTI 2026
arrow_back All Announcements
weekly

MATANGAZO YA KANISA 24 - 30 AGOSTI 2026

calendar_today August 21, 2026 person Super Admin

VIONGOZI WA ZAMU

24—30 AGOSTI 2026 MCHUNGAJI

MCHUNGAJI

  • MCH. WITNESS SWAI 0629 534 530

MZEE WA KANISA:

  • MR. GREYSON NYANTAMBA

WAZEE NA MAKATIBU WAO WATAKAOKUWA ZAMU, KUABUDU IBADA ZOTE MBILI SIKU YA JUMAPILI IJAYO TAREHE 30/8/2026:

  • MR. RODRICK LUTEMBEKA

  • MR. REMIGIUS NGAIZA

  • MRS. THERESIA MWABUSILA

MASHEMASI WA ZAMU:

  • MISS. GLORY MARTIN

  • MRS. GRADES EDGAR

  • MR. GREGORY MUSHI

  • MR. HOSEA NTUNUNGURU

MATANGAZO
MICHANGO YA FEDHA ZA UJENZI

1.Kwa neema ya Mungu ujenzi wa kanisa letu unaendelea, hivyo unatiwa moyo wewe uliye ahidi mchango wa ujenzi kwa awamu hii ya sita B kutoa au kupunguza ahadi yako ili kazi ya ujenzi iendele. Kumjengea Mungu nyumba ya ibada ni baraka kwako na kwa vizazi vyako.
2.
Unaweza kutuma mchango wako kwenda

Namba: 015 0020374000 CRDB BANK.
Jina: KINONDONI REVIVAL CHURCH

PAA LA KANISA, MUUJIZA WANGU

MAOMBI YA WATENDAJI

Watendaji wote wa kundi la NAZARETH mta- kuwa zamu ya mfungo na maombi siku ya Juma- mosi ijayo ya tarehe 29/08/2026 Watendaji wote waliopo maeneo ya Mr. Paul Tarimo,Mr. Ro- derick Lutembeka, na Mrs. T. Mwabusila.

MKUTANO MKUBWA WA INJILI

Kutakuwa na Mkutano mkubwa wa Injili katika vi- wanja vya Mwananyamala kwa Kopa kuanzia Tarehe 30 Augusti hadi 06 Septemba 2026 Washirika wote tunahimizwa kuuombea Mkutano na pia tujipange kushiriki kikamilifu kwa siku zote nane (8)

SEMINA YA WAONGOFU WAPYA NA UBATIZO WA MAJI MENGI

  • Baada ya mkutano wa injili kuisha, tarehe 07—9 Septemba 2026 yaani Jumatatu hadi Jumatano, kutakuwa na semina ya waongofu wapya pamoja na kanisa zima,kuazia saa 10 jioni hapa kanisani. Washirika wote tunahimizwa kuhudhuria semina hii

  • Kutakuwa na ubatizo wa maji mengi Jumapili ya tarehe 13/9/2026, kwa wale wote ambao bado hawajabatizwa,wajiandikishe kwa Mch. Joseph Enos