MATANGAZO YA WIKI 17 - 23 AGOSTI 2026
VIONGOZI WA ZAMU
17 - 23 AUGUST 2026
MCHUNGAJI
MCH. JOSEPH ENOS 0652 889 852
MZEE WA KANISA
MRS. THERESIA MWABUSILA
WAZEE NA MAKATIBU WAO WATAKAOKU WA ZAMU, KUABUDU IBADA ZOTE MBILI SIKU YA JUMAPILI IJAYO TAREHE 09/8/2026
MCH. YOTHAM MACKENZIE
MR. JOSEPH MAMUYA
MRS. NATUJA WINZAH
MASHEMASI WA ZAMU
MR. FABIANI QWARAY
MRS FLOTEA MASSAWE
MR. FRANCES MASSAWE
MR. GEORGE MANDWALO
MATANGAZO
Wazee wote wenye mitaa mnahimziwa kutembelea vituo vyenu vya HBCF ili kujua maendeleo ya vituo hivyo na kuviimarisha, wakisaidiana na makatibu pamoja na mashemasi.
Mchungaji Kiongozi anakumbusha tena kuwa vijana ambao wako kwenye mahusiano ya uchumba wasikae zaidi ya miezi mitatu bila kuonana na Mch. Dickson Mkoka pia wajitambulishe kwenye kamati ya kushauri chumba na kuhudhuria kwenye vikao vya chumba.
Kutakuwa na kikao cha walimu wa watoto kanisani pamoja na mama mchungaji kiongozi jumapili ya tarehe 23/08.2026 mara baada ya ibada ya kwanza.Walimu wote wa watoto wanahimizwa kuhudhuria kikao hicho kwa ajili y kuboresha huduma ya watoto wetu hapa kanisani.
MICHANGO YA FEDHA ZA UJENZI
1.Kwa neema ya Mungu ujenzi wa kanisa letu unaendelea, hivyo unatiwa moyo wewe uliye ahidi mchango wa ujenzi kwa awamu hii ya sita B kutoa au kupunguza ahadi yako ili kazi ya ujenzi iendele. Kumjengea Mungu nyumba ya ibada ni baraka kwako na kwa vizazi vyako.
2.Unaweza kutuma mchango wako kwenda namba:
015 0020374000 CRDB BANK. Jina: KINONDONI REVIVAL CHURCH
PAA LA KANISA, MUUJIZA WANGU
ZAMU ZA MAOMBI YA WATENDAJI
Watendaji wote wa kundi la YERUSALEM mtakuwa zamu ya mfungo na maombi siku ya Jumamosi ijayo ya tarehe 22/08/2026. Watendaji wote waliopo maeneo ya Mzee Alfa Byamungu, Mr Joseph Mamuya, Mch Dr Yotham Mackenzie.
MKUTANO MKUBWA WA INJILI
Kutakuwa na Mkutano mkubwa wa Injili katika viwanja vya Mwananyamala kwa Kopa kuanzia Tarehe 30 Augusti hadi 06 Septemba 2026 Washirika wote tunahimizwa kuuombea Mkutano na pia tujipange kushiriki kikamilifu kwa siku zote nane (8).
IBADA YA MEZA YA BWANA
///kutakuwa na ushirika wa meza ya Bwana Jumapili ya tarehe 30.8.2026. Washirika wote mnahimizwa kushiriki ibada hiyo
MKESHA WA CMF JIMBO
Kutakuwa na mkesha wa CMF katika jimbo letu la Ubungo Ijumaa ya tarehe 28.8.2026 hapa TAG Kinondoni. Wanaume wote mnakumbushwa kushiriki mkesha huo.