MATANGAZO YA WIKI 10 - 16 AGOSTI 2026
VIONGOZI WA ZAMU 10- 16 AUGUST 2026
MCHUNGAJI
BRYSON KITOI 0755 641 497
MZEE WA KANISA
DR CHRISTIAN MOLLEL
WAZEE NA MAKATIBU WAO WATAKAOKUWA ZAMU, KUABUDU IBADA ZOTE MBILI SIKU YA JUMAPILI IJAYO TAREHE 16/8/2026
MR ALFA BYAMUNGU
MRS RHODA BUNDARA
MATHIAS MSANGI
MATANGAZO
Wazee wote wenye mitaa mnahimizwa kutembelea vituo vyenu vya HBCF ili kujua maendeleo ya vituo hivyo na kuvihimarisha, wakisaidiana na makatibu na mashemasi.
Mchungaji kiongozi anakumbusha tena kuwa vijana ambao wako kwenye mahusiano ya uchumba wasikae zaidi ya miezi mitatu bila kuonana na Mch. Dkt Dickson Mkoka pia wajitambulishe kwenye kamati ya kushauri chumba na kuhudhuria kwenye vikao vya chumba.
Kutakuwa na kikao cha walimu wa watoto kanisani pamoja na mama mchunaji kiongozi jumapili ya tarehe 23.08.2026 mara baadaya ibada ya kwanza.Walimu wote wa watoto wanahimizwa kuhudhuria kikao hiko kwa ajili ya kuboresha huduma ya watoto wetu hapa kanisani.
MICHANGO YA FEDHA YA UJENZI
Kwa neema ya Mungu ujenzi wa kanisa letu unaendelea, hivyo unatiwa moyo wewe uliye ahidi mchango wa ujenzi kwa awamu hii ya sita B kutoa au kupunguza ahadi yako ili kazi iendelee. Kumjengea Mungu nyumba ya ibada ni baraka kwako na kwa vizazi vyako.
2.Unaweza kutuma mchango wako kwenda namba:
015 0020374000 CRDB BANK. Jina: KINONDONI REVIVAL CHURCH
PAA LA KANISA, MUUJIZA WANGU
ZAMU ZA MAOMBI YA WATENDAJI
Watendaji wote wa kundi la BETHLEHEMU mtakuwa zamu ya mfungo na maombi siku ya Jumamosi ijayo ya tarehe 15/08/2026. Watendaji wote waliopo maeneo ya Mzee Remigius Ngaiza, Mrs Rhoda Bundara, Mzee Greyson Nyantamba na Dr Dickson Mkoka
MKUTANO MKUBWA WA INJILI
Kutakuwa na Mkutano mkubwa wa Injili katika viwanja vya Mwananyamala kwa Kopa kuanzia Tarehe 30 Augusti hadi 06 Septemba 2026 Washirika wote tunahimizwa kuuombea Mkutano na pia tujipange kushiriki kikamilifu kwa siku zote nane (8)
TANGAZO LA NDOA
Kwa mara ya tatu tunatangaza harusi kati ya kaka Anyitike Enock Mwangungulu na dada Fortunata Gideon Patrick wote ni washirika wa TAG Kinondoni Harusi itafanyika siku ya Jumapili tarehe 26/08/2026 hapa kanisani TAG Kinondoni.
MABADILIKO YA RATIBA YA CMF
Ibada ya CMF hapa kanisani kwa sasa itaanza kuanzia saa 12 jioni hadi saa 1 usiku ni maombi, saa 1 usiku hadi saa 2 usiku ni neno la Mungu. Wanaume wote mnahimizwa kushiriki.