MATANGAZO YA WIKI 06—12 JULAI 2026
Attachment Available
06-12-july-2026_20260703_173220.pdf
VIONGOZI WA ZAMU 06—12 JULAI 2026
MCHUNGAJI
MCH. JOSEPH ENOS - 0652 889 852
MZEE WA KANISA: REV. GREYSON NYANTAMBA
WAZEE NA MAKATIBU WAO WATAKAOKU WA ZAMU, KUABUDU IBADA ZOTE MBILI SIKU YA JUMAPILI IJAYO TAREHE 12/07/2026:
MR. RODRICK LUTEMBEKA
MR. REMIGIUS NGAIZA
MRS. THERESIA MWABUSILA
MASHEMASI WA ZAMU:
MR. RAPHAEL BYAMUNGU
MR. RAITON AMBELE
MR. ROGERS EPHRAIM
MR. SAULI MADALE
MATANGAZO
Wazee wote wenye mitaa mnahimziwa kutembelea vituo vyenu vya HBCF ili kujua maendeleo ya vituo hivyo na kuviimarisha, wakisaidiana na makatibu pamoja na mashemasi.
Mchungaji Kiongozi anakumbusha tena kuwa vijana ambao wako kwenye mahusiano ya uchumba wasikae zaidi ya miezi mitatu bila kuonana na Mch. Dickson Mkoka pia wajitambulishe kwenye kamati ya kushauri chumba na kuhudhuria kwenye vikao vya chumba.
Kwa wale ambao wameshindwa kushiriki sadaka ya shukrani, Jumapili ya tarehe 12.07.2026 nafasi itatolewa,hivyo jiandae kumtolea Mungu vizuri.
MICHANGO YA FEDHA ZA UJENZI
Kwa neema ya Mungu ujenzi wa kanisa letu unaendelea, hivyo unatiwa moyo wewe uliye ahidi mchango wa ujenzi kwa awamu hii ya sita B kutoa au kupunguza ahadi yako ili kazi ya ujenzi iendele. Kumjengea Mungu nyumba ya ibada ni baraka kwako na kwa vizazi vyako.
Unaweza kutuma mchango wako kwenda namba:
015 0020374000 CRDB BANK.
Jina: KINONDONI REVIVAL CHURCH
PAA LA KANISA, MUUJIZA WANGU
ZAMU ZA MAOMBI YA WATENDAJI
Watendaji wote wa kundi la YERIKO mtakuwa zamu ya mfungo na maombi siku ya Jumamosi ijayo ya tarehe 11/07/2026. Watendaji wote waliopo maeneo ya Mch Bryson Kitoi, Mrs Natujwa Winzah, Mr. Mathias Msangi na Dr. Christian Mollel.
MKUTANO MKUBWA WA INJILI
Kutakuwa na Mkutano mkubwa wa Injili katika viwanja vya Mwananyamala kwa Kopa kuanzia Tarehe 26 Julai—02 August.
Washirika wote tunahimizwa kuuombea Mkutano na pia tujipange kushiriki kikamilifu kwa siku zote nane (8)
HIMIZO LA MIKESHA
Kila mshirika anahimizwa kujitahidi sana kuhudhuria mikesha yote siku ya Jumanne saa 3:30 usiku hadi saa 8 usiku na siku ya Ijumaa saa 4 usiku hadi saa 10 Alfajiri. Ukishindwa kuhudhuria mikesha yote, chagua Mkesha mmoja, kukesha na kuomba ni Agizo la Bwana Yesu mwenyewe.