MATANGAZO YA WIKI 20—26 JULAI 2026
arrow_back All Announcements
weekly push_pin Pinned

MATANGAZO YA WIKI 20—26 JULAI 2026

calendar_today July 18, 2026 person Super Admin
picture_as_pdf

Attachment Available

20-26-july-2026_20260718_190407.pdf

download Download PDF

VIONGOZI WA ZAMU 20—26 JULAI 2026

MCHUNGAJI :

MCH. BRYSON KITOI 0755 641 497

MZEE WA KANISA:

MR. REMIGIUS NGAIZA

WAZEE NA MAKATIBU WAO WATAKAOKU WA ZAMU, KUABUDU IBADA ZOTE MBILI SIKU YA JUMAPILI IJAYO TAREHE 26/7/2026:

MRS. RHODA BUNDARA

  1. MCH. GREYSON NYANTAMBA

  2. MR. RODERICK LUTEMBEKA

MASHEMASI WA ZAMU:

  1. MR. WILFRED MAZIKU

  2. MR. WINSTON MALANDA

  3. MRS. YASINTA SWAI

  4. MRS. AGNESS VITALIS

MATANGAZO

Wazee wote wenye mitaa mnahimziwa kutembelea vituo vyenu vya HBCF ili kujua maendeleo ya vituo hivyo na kuviimarisha, wakisaidiana na makatibu pamoja na mashemasi.

Mchungaji Kiongozi anakumbusha tena kuwa vijana ambao wako kwenye mahusiano ya uchumba wasikae zaidi ya miezi mitatu bila kuonana na Mch. Dickson Mkoka pia wajitambulishe kwenye kamati ya kushauri chumba na kuhudhuria kwenye vikao vya chumba.

MICHANGO YA FEDHA ZA UJENZI

  1. Kwa neema ya Mungu ujenzi wa kanisa letu unaendelea, hivyo unatiwa moyo wewe uliye ahidi mchango wa ujenzi kwa awamu hii ya sita B kutoa au kupunguza ahadi yako ili kazi ya ujenzi iendele. Kumjengea Mungu nyumba ya ibada ni baraka kwako na kwa vizazi vyako.'

  2. Unaweza kutuma mchango wako kwenda namba:

015 0020374000 CRDB BANK. Jina: KINONDONI REVIVAL CHURCH

PAA LA KANISA, MUUJIZA WANGU

ZAMU ZA MAOMBI YA WATENDAJI

Watendaji wote wa kundi la YERUSALEM mtakuwa zamu ya mfungo na maombi siku ya Jumamosi ijayo ya tarehe 25/07/2026. Watendaji wote waliopo maeneo ya Mzee Alfa Byamungu, Mr. Joseph Mamuya , Dr. Yotham Mackenzie

MKUTANO MKUBWA WA INJILI

Kutakuwa na Mkutano mkubwa wa Injili katika viwanja vya Mwananyamala kwa Kopa kuanzia Tarehe 23—30 August. Washirika wote tunahimizwa kuuombea Mkutano na pia tujipange kushiriki kikamilifu kwa siku zote nane (8)

TANGAZO LA NDOA

Kwa mara ya tatu tunatangaza harusi kati ya kaka Elias John Songa wa TAG Kinondoni na dada Mariana Paul Martin wa Jerusalem Temple Geita Harusi itafanyika Jumapili tarehe 26/07/2026 hapa kanisani TAG Kinondoni.