MATANGAZO YA WIKI 27 JULAI — 02 AGOSTI 2026
arrow_back All Announcements
weekly

MATANGAZO YA WIKI 27 JULAI — 02 AGOSTI 2026

calendar_today July 25, 2026 person Super Admin
picture_as_pdf

Attachment Available

27-july-02-aug-2026_20260725_201046.pdf

download Download PDF

VIONGOZI WA ZAMU

27 JULAI — 02 AGOSTI 2026

MCHUNGAJI

MCH. JOSEPH ENOS 0652 889 852

MZEE WA KANISA: MRS. NATUJWA WINZAH

WAZEE NA MAKATIBU WAO WATAKAOKU WA ZAMU, KUABUDU IBADA ZOTE MBILI SIKU YA JUMAPILI IJAYO TAREHE 02/8/2026:

MR. ALFA BYAMUNGU

MRS. THERESIA MWABUSILA

DR.CHRISTIAN MEIKARE

MASHEMASI WA ZAMU:

MRS. ASNATH KAMANGA

MR. ATHANAS MPONZI

MRS. ATUGANILE ANDREW

MR. BASILI MKINI

MATANGAZO

Wazee wote wenye mitaa mnahimziwa kutembelea vituo vyenu vya HBCF ili kujua maendeleo ya vituo hivyo na kuviimarisha, wakisaidiana na makatibu pamoja na mashemasi.

Mchungaji Kiongozi anakumbusha tena kuwa vijana ambao wako kwenye mahusiano ya uchumba wasikae zaidi ya miezi mitatu bila kuonana na Mch. Dickson Mkoka pia wajitambulishe kwenye kamati ya kushauri chumba na kuhudhuria kwenye vikao vya chumba.

MABADILIKO YA RATIBA YA CMF

Ibada ya CMF hapa kanisani kwa sasa itaanza kuanzia saa 12 jioni hadi saa 1 usiku ni maombi, saa 1 usiku hadi saa 2 usiku ni neno la Mungu. Wanaume wote mnahimizwa kushiriki.

MICHANGO YA FEDHA ZA UJENZI

  1. Kwa neema ya Mungu ujenzi wa kanisa letu unaendelea, hivyo unatiwa moyo wewe uliye ahidi mchango wa ujenzi kwa awamu hii ya sita B kutoa au kupunguza ahadi yako ili kazi ya ujenzi iendele. Kumjengea Mungu nyumba ya ibada ni baraka kwako na kwa vizazi vyako.

  2. Unaweza kutuma mchango wako kwenda namba:

015 0020374000 CRDB BANK.

Jina: KINONDONI REVIVAL CHURCH

PAA LA KANISA, MUUJIZA WANGU

ZAMU ZA MAOMBI YA WATENDAJI

Watendaji wote wa kundi la NAZARETH mtakuwa zamu ya mfungo na maombi siku ya Jumamosi ijayo ya tarehe 01/08/2026. Watendaji wote waliopo maeneo ya Mr. Paul Tarimo,Mr. Roderick Lutembeka, na Mrs. T. Mwabusila.

MKUTANO MKUBWA WA INJILI

Kutakuwa na Mkutano mkubwa wa Injili katika viwanja vya Mwananyamala kwa Kopa kuanzia Tarehe 30 Augusti hadi 06 Septemba 2026 Washirika wote tunahimizwa kuuombea Mkutano na pia tujipange kushiriki kikamilifu kwa siku zote nane (8)

TANGAZO LA NDOA

Kwa mara ya kwanza tunatangaza harusi kati ya kaka Anyitike Enock Mwangungulu na dada Fortunata Gideon Patrick wote ni washirika wa TAG Kinondoni Harusi itafanyika siku ya Jumapili tarehe 26/08/2026 hapa kanisani TAG Kinondoni